GET /api/v0.1/hansard/entries/442990/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 442990,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442990/?format=api",
    "text_counter": 260,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Inafaa tukae pamoja na viongozi wa dini na Wabunge wa kaunti ili tuchunguze chanzo cha shida zetu katika hii nchi. Mungu hawezi kufurahia jinsi wananchi wanavyouawa kama kuku. Hata ninaaibika kuwa kiongozi katika nchi ambayo watu wanauawa bila kujulikana sababu ni nini. Tunapoongea leo hapa Nairobi, ni nani amechuckua hatua ya kujua chanzo cha kutokuwa na usalama kule mashinani ? Ninaunga mkono."
}