GET /api/v0.1/hansard/entries/442996/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 442996,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442996/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika wa Muda, tumeigawanya Kenya kwa misingi ya kisiasa na kikabila. Hiyo haitatusaidia kama wanasiasa. Labda tunafanya hivyo ili labda tujipatie sifa. Lakini akifa Mkenya mmoja ni lazima kila Mkenya ajue kuwa ni mtu wake na jamii yake. Hakuna kifo kizuri kwa mtu yeyote. Bw. Spika wa Muda, pia tusiwalaumu magaidi wa Al Shabaab . Tunalaumu Al"
}