GET /api/v0.1/hansard/entries/442999/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 442999,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442999/?format=api",
"text_counter": 269,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wetangula",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 210,
"legal_name": "Moses Masika Wetangula",
"slug": "moses-wetangula"
},
"content": " Jambo la nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Je, ni halali kwa Sen. Mvita kusema kwamba hatufai kuwalaumu Al Shabaab ilhali wao wenyewe walisema kuwa walivamia mji wa Mpeketoni? Kama wanaushahidi tofauti waulete hapa?. We want an open society. Kila mtu awajibike na yale mambo anayosema. Merekani, Uingereza, Ufaransa wamesema Al Shabaab ndio waliohusika. Hata Al Shabaab wenyewe wamesema kuwa ni wao ndio walitekeleza uvamizi huo. Je, ni nidhamu kweli kwa mhe. Seneta kusimama hapa na kukanusha bila kuleta ushahidi ulio tofauti na yale ambayo tumeambiwa?"
}