GET /api/v0.1/hansard/entries/443350/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 443350,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/443350/?format=api",
    "text_counter": 175,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika wa Muda, Hoja hii inaomba shule tatu za mabweni katika kila kata. Hili si ombi kubwa, tunaweza kulitekeleza. Hizo ni pesa chache sana. Serikali ingejitolea, ikaona kwamba kweli, hili ombi ni la haki. Isiwe kwamba ni jambo tu la kuongea katika Bunge hili halafu ripoti hii inaenda kuwekwa pamoja na stakabadhi zingine. Tumeongea kuhusu mambo haya katika Bunge la Nane, la Tisa, la 10 na sasa pia katika Bunge la 11. Bw. Spika wa Muda, naunga mkono."
}