GET /api/v0.1/hansard/entries/443815/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 443815,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/443815/?format=api",
"text_counter": 362,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda. Tunaunga mkono Mswada huu ambao umeletwa na Mhe. Chachu kuhusu ukame. Hii si mara ya kwanza tunazungumza kuhusu mambo ya ukame. Jambo hili lilizungumzwa katika Bunge la Tisa na la Kumi na bado jawabu halikupatikana."
}