GET /api/v0.1/hansard/entries/443816/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 443816,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/443816/?format=api",
    "text_counter": 363,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Ukame umezidi katika kaunti nyingi nchini Kenya, hasa katika Kaunti ya Samburu ambayo ninawakilisha. Wazee wanakaa nyumbani katika kaunti za Marsabit na Turkana ilhali mifugo inapelekwa kila mahali. Hili ni jambo ambalo linafaa liangaliwe sana. Wananchi wanaumia kutokana na njaa. Pia, mifugo wanafariki kwa sababu ya ukame. Hata wanyama wa pori wanafariki kwa sababu ya ukame."
}