GET /api/v0.1/hansard/entries/445116/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 445116,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/445116/?format=api",
"text_counter": 20,
"type": "speech",
"speaker_name": "July 2, 2014 SENATE DEBATES 3 Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, kitu cha kwanza nataka kukushukuru kwa kukubali ujumbe wa waheshimiwa kutoka Kaunti ya Kilifi kuja hapa katika Seneti. Wako hapa kujifundisha vile mambo yanaendelea katika Bunge hili la Seneti. Jambo la pili ni kuwa ujumbe huu uko hapa kwa muda fulani na wataweza pia kuungana na Kamati tofauti tofauti ili wakirudi nyumbani waweze kujiendeleza katika masuala haya ya ugatuzi ambayo Bunge letu hili la Seneti linazingatia zaidi. Bw. Spika, pia ningependa kuwashukuru kwa sababu wamekuja kwa wingi na wote wako hapa kujifunza."
}