GET /api/v0.1/hansard/entries/445388/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 445388,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/445388/?format=api",
"text_counter": 292,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Zani",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13119,
"legal_name": "Agnes Zani",
"slug": "agnes-zani"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii muhimu sana ili nichangie Hoja hii ambayo imeletwa na Sen. Ongoro. Kwanza, dada yangu, Sen. Ongoro, ningependa kukupongeza kwa kuleta Hoja hii ambayo inawagusa watu kwa kwetu kule Pwani. Bw. Spika wa Muda, tumeona mti wa mnazi ukilisha watu, kuwawezesha kuenda shule na kupata chakula. Lakini tukiangalia upande wa ukulima na kuhakikisha kwamba tumekuza mmea huu na njia ambazo tunaweza kuutumia mmea huu na kukuza uchumi, The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}