GET /api/v0.1/hansard/entries/445396/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 445396,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/445396/?format=api",
    "text_counter": 300,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ya maisha ya watu na tunasema kwamba kwa sababu ya huu mti, ambao ni mti wa maisha, watu hawa pia wana haki ya kuwa na furaha na kujivunia kwamba wanaishi katika Pwani na wanapata manufaa ya mti huu. Bw. Spika wa Muda, ningependa kumuita dada yangu, Sen. Kanainza, aniunge mkono au to second this amendment . Asante sana, Bw. Spika wa Muda."
}