GET /api/v0.1/hansard/entries/445890/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 445890,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/445890/?format=api",
    "text_counter": 103,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2715,
        "legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
        "slug": "esther-nyambura-gathogo"
    },
    "content": "Mtu anaweza kuitumia hiyo barabara kutoka Ruiru akielekewa town. Lakini sasa inabidi mtu atumie njia refu kwa sababu barabara hiyo haipitiki. Ningependa warudi wachore tena na wapatie Barabara ya Ruiru kuelekea Githunguri na Lari pesa ya kutosha ili itengenezwe kama barabara zingine. Hatuna furaha kwa sababu hatutaki viraka katika hiyo barabara. Tunataka barabara itengenezwe vizuri ili tusiaibike kutokana na barabara hiyo kupandwa ndizi."
}