GET /api/v0.1/hansard/entries/44616/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 44616,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/44616/?format=api",
    "text_counter": 265,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Ethurot",
    "speaker_title": "The Temporary Deputy Speaker",
    "speaker": {
        "id": 158,
        "legal_name": "Ekwee David Ethuro",
        "slug": "ekwee-ethuro"
    },
    "content": " Nidhamu, Bw. Mbuvi! Usibishane na Mwenyekiti wa kikao hiki. Kuna shughuli za kutosha mbele ya Bunge. Tetesi zako ni kwamba uliahidiwa kwamba taarifa ingeletwa tarehe fulani lakini ikaletwa siku nyingine. Juu ya suala hilo, nimekubaliana nawe. Inatakiwa taarifa iletwe wakati ambao tumekubaliana katika Bunge. Lakini kuhusu suala la iwapo Mbunge aliyeitisha taarifa ni lazima awe Bungeni au la, hiyo si kazi ya Bunge. Waziri ataleta taarifa ile tarehe tuliyokubaliana. Yes, Leader of Government Business!"
}