GET /api/v0.1/hansard/entries/446961/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 446961,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/446961/?format=api",
    "text_counter": 322,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Ahsante sana, Naibu Spika wa Muda. Nikiendelea kuunga mkono, ningependekeza ya kwamba wiki hii inayokuja ni wiki ambayo tunatakikana kukumbuka kule tulipotoka na kule tunakoelekea, haswa kwenye maswala ya kikatiba na shughuli zile ambazo tumepatiwa kwenye Bunge hili la kifahari, Bunge la Kumi na Moja, ili tuweze kuenda kuhamasisha wananchi wote katika hali ya upendo. Ndugu zangu, sio rahisi pale tulipotoka. Tuliponea tundu la sindano. Hatuwezi kuwa tutajirudisha pale tulipotoka mwaka wa 2008. Ilikuwa ni muda mgumu sana kwa nchi hii na kuna umuhimu wa sisi kuzungumzia amani. Ahsante sana, Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ya kuunga mkono. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}