GET /api/v0.1/hansard/entries/447373/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 447373,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/447373/?format=api",
    "text_counter": 22,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "July 2, 2014 SENATE DEBATES 3 Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Jambo hili litatutia sisi watu wa Kilifi nguvu na Kenya kwa ujumla. Kwa hivyo, nataka kuwashukuru sana waheshimiwa wote waliokuja kutoka Kilifi na pia kukushukuru wewe kwa sababu ya kuwakaribisha katika Bunge hili la Seneti. Asante sana Bw. Spika."
}