GET /api/v0.1/hansard/entries/448394/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 448394,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/448394/?format=api",
"text_counter": 195,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Ningependa kuuliza Mwenyekiti wa Kamati--- Kila mmoja wao anasema wiki mbili, wiki tatu au wiki nne. Hatuelewi kama hizi ni ripoti zinaletwa ama ni mchezo tu. Kwa sababu kila anayeamka anasema wiki mbili. Ukiangalia mambo kuhusu mashambulizi ya Lamu, Meru nakadhalika, pahali wananchi wanakufa na mali yao kuharibiwa wakati tunaka kujua ni nini kinafanyika, wenyeviti wanasema wiki mbili. Bw. Spika tusaidie tupate ukweli."
}