GET /api/v0.1/hansard/entries/448395/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 448395,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/448395/?format=api",
"text_counter": 196,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Basi usaidizi huo tumesema utakuwepo ikiwa Bunge hili litakubaliana na sisi kwamba, ikisemekana swali limetoka pahali fulani, tuite Waziri anayehusika aje ajibu maswali. Hii itapatia Kamati nafasi ya kufanya kazi zingine, kama hayo maombi. Yale maswali ambayo yameulizwa hapa ni mengi sana kwa Kamati. Hata hivyo, tumeona kwamba hii njia ya kufanya kazi haifai hata kidogo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}