GET /api/v0.1/hansard/entries/449601/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 449601,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/449601/?format=api",
"text_counter": 246,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Yangu ni machache sana kwa wenzangu wa chama cha CORD. Kama ningelikuwa nimefanya makosa yoyote kuhusu chama chetu cha CORD, mngeniita mnieleze kwamba kama kiongozi kutoka Meru nimewakosea hivi na vile. Haifai mkiingia kwa nyumba na kuota moto, mseme kwamba Mhe. Aburi hafai kwa Kamati ya Lands. Mjue kwamba kupata kiti na CORD katika Meru ni kama kutoa nyama kutoka mdomo ya fisi."
}