GET /api/v0.1/hansard/entries/449603/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 449603,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/449603/?format=api",
    "text_counter": 248,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Aburi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2901,
        "legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
        "slug": "lawrence-mpuru-aburi"
    },
    "content": "Nataka tena Melewe kwamba mimi sina vita na nyinyi. Vita yangu ilikuwa kidogo na CORD. Mimi nilikuwa nagombea kiti cha mwenyekiti katika chama cha ODM nchi nzima. Kufika uwanjani pale, mimi na watu wangu tulitupwa nje. Mimi niliamua kwamba singekuwa na vita na nyinyi. Lakini mnaaandika mna vita na mimi; hiyo ni kama kuingiza kidole kwa shimo la siafu, na siafu ndio hawa; hakuna lingine. Mimi napinga mambo haya. Kama ningelikuwa na makosa--- Kama mngelikuwa watu wa ukweli, ama watu wanaofuata ukweli, mngeniita na kuniambia: Mhe. Aburi umekosa hivi na hivi. Mimi sitaki mseme kwamba Mhe. Aburi hatii sheria zetu ama haimbi wimbo wetu ama hatupigii makofi. Siwezi nikakupigia makofi ukiwa na makosa."
}