GET /api/v0.1/hansard/entries/449605/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 449605,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/449605/?format=api",
"text_counter": 250,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Ndiposa nimesema kwamba mimi, nikiwa kiongozi kutoka Meru, simbebelezi punda kwa mteremko. Namachilia ateremke chini; nitampembeleza akipanda. Mimi suingi mkono mambo haya, Sikukaa chini na hawa; hawa ni wakora; inafaa waongezwe kokoto kwa tumbo ndio wasisikie njaa tena"
}