GET /api/v0.1/hansard/entries/450915/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 450915,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/450915/?format=api",
"text_counter": 140,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bedzimba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1933,
"legal_name": "Rashid Juma Bedzimba",
"slug": "rashid-juma-bedzimba"
},
"content": "Kulingana na mujibu wa Kanuni za Bunge, Kifungu 44(2)(c), ningependa kuuliza taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi kuhusu tatizo la ardhi na utozi wa makazi kwa maskwata nchini, hususan maeneo ya Pwani. Tatizo la ardhi na maskwata ni tatizo sugu nchini. Idadi ya maskwata katika maeneo ya Pwani inaongezeka kila uchao na Serikali ya Kitaifa haijapanga mikakati ya kutatua tatizo hili. Ningependa kuomba kwamba Mwenyekiti wa hii Kamati afanye uchunguzi abainishe na kisha aripoti yafuatayo:-"
}