GET /api/v0.1/hansard/entries/451370/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 451370,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/451370/?format=api",
    "text_counter": 236,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Gichigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1909,
        "legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
        "slug": "samuel-kamunye-gichigi"
    },
    "content": "Ni muhimu tuwakumbuke wale ambao hawana kazi. Hata tukiendelea kuajiri polisi wengi katika nchi, haitawezekana kuajiri polisi wa kutosha. Ni muhimu tukumbuke wale ambao hawana kazi. Tusipowatafutia kazi hawa vijana na kupeleka raslimali kule mashinani ukweli ni kuwa wakikosa kazi, usalama hautakuweko. Tuwakumbuke polisi vile vile ili wasije kulalamika kila wakati juu ya mishahara yao. Namshukuru Rais kwa Hotuba yake."
}