GET /api/v0.1/hansard/entries/454152/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 454152,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/454152/?format=api",
"text_counter": 113,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Bw Spika, naunga mkono Bw. Ababu Namwamba. Mimi nilianza na chama cha ODM kutoka 1991 na mpaka sasa nasukumana na hawa watu, lakini hawa watu wamekuwa wakora wasioshiba. Wanafaa kuongezwa kaquarter ka matumbo ndio wasisikie njaa tena. Mimi si mtu wa kufungiwa nje. Mimi ni mtu wa kuwafungia nyinyi nje. Ki kitendo---"
}