GET /api/v0.1/hansard/entries/454772/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 454772,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/454772/?format=api",
    "text_counter": 275,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Asante sana, Naibu Mwenyekiti wa Muda. Nataka kusema kwamba kuna umuhimu wa kuhakikisha kwamba kazi ya tume inayosimamia maswala ya askari, inaendelea vizuri. Wafanyakazi hao wa usalama wako na jukumu kubwa; lakini juu ya hapo, kukifanywa uamuzi, kama wenye kuwasimamia katika zile kazi hawatakuwapo, kutakuwa na matatizo. Kwa hivyo, ninaunga mkono mabadiliko haya ambayo mwenyekiti wa Kamati hii amependekeza ili wale wajipange vizuri ili waweze kufanya kazi. Maanake wakikosa kufanya kazi, watakuwa wamekosea Wakenya."
}