GET /api/v0.1/hansard/entries/45540/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 45540,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/45540/?format=api",
"text_counter": 327,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, jambo la nne ni kwamba katika Schedule ya Pili, kuna maneno ambayo hayaelezi sawa sawa hali ya mikutano ya halmashauri hii. Wanaposema kwamba inatakiwa mikutano minne katika mwaka na kila miezi mbili kuwe na thibitisho kwamba mkutano umefanyika. Hii inamaanisha mikutano sita. Jambo hili linaweza kuleta mtafaruku katika mpangilio wa mambo haya. Tunafaa kuhakikisha kwamba vyombo na vitu vinavyotengenezwa hapa nchini vinauzwa kwa bei ya kuwasaidia wananchi."
}