GET /api/v0.1/hansard/entries/455826/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 455826,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/455826/?format=api",
    "text_counter": 194,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Vile vile, ningesema kwamba kuna umuhimu wa wewe kuangalia jinsi na kuhakikisha pia akina mama wanapewa nafasi ya kuweza kuongea kama wenzeo, ambao ni wabunge wa Bunge la Kumi na Moja."
}