GET /api/v0.1/hansard/entries/455828/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 455828,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/455828/?format=api",
"text_counter": 196,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Equalization Fund iweze kueleweka vizuri. Maeneo yale ambayo ni duni hapa nchini kimaendeleo ndiyo hayakuweza kupatiwa hata pesa za kutosha kupitia serikali za kaunti. Sababu moja ya umuhimu ni kuwa na uchache wa watu. Katika tume ambayo inasimamiwa na Bw. Cheserem, walisahau kwamba maeneo hayo ndiyo yanayohitaji maendeleo mengi."
}