GET /api/v0.1/hansard/entries/455832/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 455832,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/455832/?format=api",
"text_counter": 200,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Vile vile Marsabit ni sehemu kubwa sana; unaweza kuunganisha mikoa kadhaa katika nchi hii ili upate eneo moja linaloitwa kaunti ya Marsabit. Ukiangalia huoni hata chembe ya lami katika eneo hili. Bila kuwa na barabara ambazo zinaweza kupitika ni shida sana kuwa na maendeleo. Vile vile, ni shida sana kwa watu kifikia huduma za afya wakitumia barabara ambazo hazifai. Ningeomba wenzangu wote kwamba asimilia 67 ya Bunge hili liweze kuunga mkono marekebisho haya ili tuweze kurekebisha Katiba. Katika hali ya kuiendeleza Katiba hii kuweza---"
}