GET /api/v0.1/hansard/entries/455833/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 455833,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/455833/?format=api",
"text_counter": 201,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Mhe. Spika wa Muda, kuna maswali ambayo ni lazima tuyaulize. Wananchi wanafikiri kwamba Wabunge pamoja na Maseneta wanalizungumuzia jambo hili kwa sababu wanataka kufikia zile pesa za maendeleo. Pesa za maendeleo zinatakiwa kusaidia watu mashinani ili waweza kuendeleza maeneo yaliyoachwa nyuma. Itakuwaje tunatarajia kuwa na kiongozi mmoja ambaye amechaguliwa kama wale wengine, na akae The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}