GET /api/v0.1/hansard/entries/455834/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 455834,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/455834/?format=api",
    "text_counter": 202,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "peke yake kufanya hivyo? Hata ukiangalia sasa hivi, ijapokuwa Serikali ya Jubilee ilitoa asilimia 32 ya pesa badala ya asilimia 15, maswali yaliyopo ni, pesa hizi zinaweza kufanya nini? Zinaweza kusaidia mwananchi? Tungependa kuwe na bodi ya kusimamia maendeleo ili sote tuweze kuhusika na tujue pesa zitatumika vipi pale mashinani. Si kwamba tuna chuki kwa magavana, la! Tunataka maendeleo mashinani yaweze kufika, na tuweze kufikia malengo ambayo Katiba inaazimia. Tunataka maendeleo yaende mashinani ili wananchi waweze kujiendeleza."
}