GET /api/v0.1/hansard/entries/455835/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 455835,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/455835/?format=api",
"text_counter": 203,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Naibu Spika wa Muda, tulichaguliwa na wananchi, hatukujichagua. Kwa hivyo, kuna umuhimu wa hiyo bodi kufanya kazi mara moja. Tukipitisha hii sheria tutahakikisha kwamba mambo ambayo tunayasoma na kuyaona – tumeyaona mengi lakini si saa hii ninatakikana kuyazungumzia. Wakenya wanafahamu kwamba tuko hapa na tuna haki ya kuwapigania hasa katika maendeleo. Maana ya ugatuzi ni kung’atua pesa kutoka Serikali ya kitaifa na kuzipeleka mashinani. Asante sana. Ninaunga Mkono."
}