GET /api/v0.1/hansard/entries/456300/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 456300,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/456300/?format=api",
    "text_counter": 365,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wekesa",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2742,
        "legal_name": "David Wafula Wekesa",
        "slug": "david-wafula-wekesa"
    },
    "content": "Ahsante sana Bi. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ili nami niunge mkono Hoja hii. Ni wazi kwamba kulingana na kumbukumbu, hawa watu wawili ni watenda kazi na sina wasiwasi kwamba watachapa kazi yao. Mbali na mheshimiwa Dkt. Ali kuwa mwanzilishi wa Tume ya Huduma ya Bunge, nilibahatika kuwa mwajiriwa wake. Niliwasiliana naye kwa mambo mengi. Najua kwamba yeye ni mtu mnyenyekevu na msikivu na najua ataangalia maslahi ya waheshimiwa Wabunge."
}