GET /api/v0.1/hansard/entries/456978/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 456978,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/456978/?format=api",
    "text_counter": 150,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Gichigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1909,
        "legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
        "slug": "samuel-kamunye-gichigi"
    },
    "content": "Pia, ninaunga mkono Hoja hii kwa sababu inatoa nafasi ya kutambua na kuamua ni akina nani watakuwa mashujaa. Kama ilivyosemwa na aliyezungumza mbele yangu, umma una uwezo wakukataa mashujaa waliochaguliwa. Wananchi wakipiga kura na kusema kwamba hawamtaki mtu fulani kuwa shujaa, kamati ya kuwatambua mashujaa haitakuwa na budi ila kumkataa huyo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}