GET /api/v0.1/hansard/entries/456979/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 456979,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/456979/?format=api",
"text_counter": 151,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Gichigi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1909,
"legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
"slug": "samuel-kamunye-gichigi"
},
"content": "Mhe.Naibu Spika wa Muda, ninafurahia Hoja hii kwa sababu ina sehemu ambayo inapanga kusaidia mashujaa wetu ambao wana shida mbali mbali. Hoja hii itabuni hazina ambayo inaweza kushughulikia mashujaa wetu na wapendwa wao. Kwa mfano, kama shujaa atatuacha tutawasaidia wapendwa wake kifedha."
}