GET /api/v0.1/hansard/entries/456980/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 456980,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/456980/?format=api",
"text_counter": 152,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Gichigi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1909,
"legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
"slug": "samuel-kamunye-gichigi"
},
"content": "Pia, ninaunga mkono Hoja hii kwa sababu kuna sehemu ambayo inaruhusu kuondolewa kwa tuzo ya shujaa ambaye anafanya kinyume na matakwa ya nchi ama anajiingiza katika uhalifu. Tunaweza kusema kwamba yeye si shujaa tena."
}