GET /api/v0.1/hansard/entries/457059/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 457059,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/457059/?format=api",
"text_counter": 231,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "Ahsante sana Bi. Naibu Spika wa Muda. Kwa hakika, hata ukiangalia maneno yaliyotoka katika kinywa changu, hauwezi kuwa umeandika maneno kama hayo. Nimeyazungumza yakitoka katika akili yangu. Nilikuwa nikiangalia tu kama ninataka kufanya reference ya kuonyesha kifungu fulani, ambayo inaruhusiwa kulingana na Kanuni za Bunge. Maneno kama hayo siwezi kuyaandika na kuweza kuyasoma. Huu ni mtiririko wa maneno ambayo yametoka katika kinywa changu na akili yangu."
}