GET /api/v0.1/hansard/entries/457467/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 457467,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/457467/?format=api",
"text_counter": 151,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "Kwa hakika, siku zote mhe. Mututho amekuwa katika msitari wa mbele kupigania na kuona kwamba matumizi mabaya ya madawa ya kulevya na ulevi wa kupindukia umepungua. Haswa, alileta Mswada bungeni ambao ulipita na kuwa sheria – sheria ambayo imeweka masaa maalum ya mabaa kufunguliwa na kufungwa. Madhumuni ya The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}