GET /api/v0.1/hansard/entries/457469/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 457469,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/457469/?format=api",
    "text_counter": 153,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kombe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 250,
        "legal_name": "Harrison Garama Kombe",
        "slug": "harrison-kombe"
    },
    "content": "Kuhusu suala la kesi inayomkabili mhe. Mututho, inafaa tukumbuke kwamba kesi hiyo imekuwa ikiendelea kwa miaka 15 sasa. Je, watu hao walikuwa wanataka kumaliza kesi hiyo? Hawana haja. Hiyo inaweza kuwa njama ya watu fulani ya kumfungia nje ili asiweze kufanya kazi hii."
}