GET /api/v0.1/hansard/entries/457596/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 457596,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/457596/?format=api",
"text_counter": 280,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "zi wapi. Kusema ukweli si kawaida mtu kutumia hela zake kufanya kazi zile isipokuwa ni vile yeye anajua vijana wetu maisha yao yataharibika kwa ajili ya kutumia madawa ya kulevya na pombe. Je, ikiwa mtu kama Bw. Mututho hawezi kupatiwa hii kazi, nani mwingine atapatiwa? Bw. Spika, mtu akiwa na kesi kortini isiwe sababu, kwa sababu korti itaamua ikiwa mtu anafaa ama hafai. Kwa sasa hivi tumpe Mututho nafasi ili afanye kazi atusaidie, hasa sisi wazazi tulio na kilio na uchungu. Naomba kuunga mkono Hoja hii."
}