GET /api/v0.1/hansard/entries/458473/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 458473,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/458473/?format=api",
"text_counter": 749,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "zikaweze kutawaliwa na vijana wenyewe. Kwa hivyo, hakika ni vyema tuwape nafasi vijana. Haijalishi itakuwa ni vijana wa aina gani lakini pia, kwa kuwa inasimamiwa ama imewalenga akina mama, ni sawa huyo achaguliwe na akina mama. Kwa hakika, hela hizi zimewalenga vijana na akina mama---"
}