GET /api/v0.1/hansard/entries/458478/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 458478,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/458478/?format=api",
"text_counter": 754,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "Kama nilivyokuwa naelezea, swala lililoko mbele yetu ni la vijana na akina mama. Kwa hivyo, kuna umuhimu vijana kuwa wengi katika hizo kamati, kinyume na vile ilivyokuwa wakati wa mipango ya kamati za wanaoishi na virushi vya ukimwi. Utakuta wanaoshiriki katika swala hilo la wanaoishi na virushi vya ukimwi katika kamati hizo zote, hakuna hata mmoja anaugua ukimwi. Ni jambo la kusikitisha. Lisiwe hivyo basi."
}