GET /api/v0.1/hansard/entries/458483/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 458483,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/458483/?format=api",
"text_counter": 759,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Ahsante sana, Bw. Naibu Mwenyekiti wa Muda. Ninasimama kuunga Hoja hii mkono vile ilivyoletwa na mhe. Shukra. Naunga mkono kwa sababu tumetoa nafasi zote ambazo ni nyingi zinazosimamiwa na Wabunge wa maeneo ya uwakilishi Bungeni; tano ama zaidi ya tano, zitakuwa mikononi mwenu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}