GET /api/v0.1/hansard/entries/459121/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 459121,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/459121/?format=api",
    "text_counter": 277,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Ahsante, Bi. Mwenyekiti wa Muda. Nimesimama kupinga pendekezo la Mwenyeketi la kukifanyia mabadiliko Kipengele hiki. Mwanamke anapoolewa, huenda ikawa hana ajira lakini inafaa ifahamike kwamba kufagia nyumbani kwake asubuhi na kumchemshia mumewe maji ya kuoga pia ni mchango kwenye ndoa. Mwanamke huyo pia huchangia mengi kwenye ndoa. Kwa hivyo, ana haki ya kupata ugavi sawia wa mali yatakayopatikana wakati wa ndoa."
}