GET /api/v0.1/hansard/entries/460031/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 460031,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/460031/?format=api",
"text_counter": 180,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. S.A. Ali",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Asante Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ningependa kupata maelezo kamili kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama wa Kitaifa kuhusu masuala haya ambayo ametuelezea. Ni masikitiko makubwa kuona kwamba hali hii imekuwa ikiendelea kwa wale ambao wako na imani kubwa na dini ya Kiislamu. Tunaelewa vyema kwamba Serikali yetu au katika nchi ya Kenya tuko na Katiba ambayo tunataka tuifuate kama wananchi."
}