GET /api/v0.1/hansard/entries/460036/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 460036,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/460036/?format=api",
    "text_counter": 185,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. S.A. Ali",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Ningependa kupata maelezo kamili kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama wa Kitaifa kwa sababu sidhani mimi na Waislamu katika nchi hii wataweza kutoshelezwa na maelezo ambayo tumepewa katika masuala haya. Tunahitaji kupata maelezo kamili yenye kutupa mwongozo katika suala hili."
}