GET /api/v0.1/hansard/entries/460507/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 460507,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/460507/?format=api",
    "text_counter": 327,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kombe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 250,
        "legal_name": "Harrison Garama Kombe",
        "slug": "harrison-kombe"
    },
    "content": "Asante sana Mhe. Spika kwa kunipa nafasi hii ili nichangia Hoja hii. Ijapokuwa taarifa ya Kamati iko sawa, nina wasiwasi moyoni mwangu. Hii ni kwa sababu wahenga walinena: ”Pema usijapo pema, ukipema si pema tena.” Mhe. Spika, ikiwa wataka kumpiga risasi mwizi, kwanza hutamlenga kichwani. Utapiga risasi juu, akishtuka ndipo umlenge kichwani. Wasiwasi yangu ni kwamba, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}