GET /api/v0.1/hansard/entries/460508/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 460508,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/460508/?format=api",
    "text_counter": 328,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kombe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 250,
        "legal_name": "Harrison Garama Kombe",
        "slug": "harrison-kombe"
    },
    "content": "tunaweza kuitumia ripoti hii kutoa ama kufungua mlango wa wale wanyanyasaji na wanyakuzi wa mashamba wakaweza kuiingia ndani. Huo ndio wasiwasi wangu. Mhe. Spika, kufikia hivi sasa, kazi inaendelea kuteleza kwa binadamu. Kufanya kosa si kosa, kurudia kosa ndio kosa."
}