GET /api/v0.1/hansard/entries/460846/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 460846,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/460846/?format=api",
"text_counter": 238,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Bw. Spika, nilikuwa mbele ya mheshimiwa kuingia katika Bunge hili. Kwa hivyo, si mara yangu ya kwanza na hawezi kunifundisha Standing Orders . Nimesimama kupinga Hoja hii. Sipingi kwa sababu ninaunga mkono ufisadi au ninataka NCPB ikufe. Ninapinga kwa sababu shida ambayo imepatikana imetokana na NCPB ambayo imesimamia zabuni. Wao ndio wametoa kadarasi. Wakati wamezozana na Erad, Erad wemeenda kortini, NCPB hawajakata rufani hata mara moja mpaka leo."
}