GET /api/v0.1/hansard/entries/460850/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 460850,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/460850/?format=api",
    "text_counter": 242,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Nassir",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "Kwa hoja ya nidhamu, Bw. Spika. Ningependa kuzungumza kwa lugha ya taifa ambayo ndugu yangu mhe. Wario ametumia. Katika mjadala wake ambao anaouzungumzia, kwanza ni kuwa lawama haiko kwa Erad lakini kwa NCPB. Ile hisia ambayo anaileta kwa Bunge hili na katika Kenya nzima ni kuwa ripoti hii inaisafisha NCPB, ambayo sio ukweli wa maneno. Katika maneno yake ambayo nimemkatiza sasa hivi---"
}