GET /api/v0.1/hansard/entries/461182/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 461182,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/461182/?format=api",
    "text_counter": 125,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Asante, Mheshimiwa Spika. Nimesimama kwa jambo la nidhamu kulingana na Kanuni za Bunge 89(3). Kanuni hii ya Bunge inatuambia kama jambo liko mbele ya mahakama, Bunge hairuhusiwi kulizungumzia. Utakapoangalia ripoti hii, ukurusa wa 19 inazungumza kwamba maswala haya yako mbele ya Mahakama ya Rufaa. Ikiwa sisi ni watunzi wa sheria na Bunge hili halifanyi kazi bila kufuata sheria, ni sheria gani tunatumia leo? Maswala yamo katika Mahakama ya Rufaa na huku tunayajadili! The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}