GET /api/v0.1/hansard/entries/461189/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 461189,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/461189/?format=api",
"text_counter": 132,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Mheshimiwa Spika, hata kama niko na heshima kubwa kwa Kiongozi wa Wengi Bungeni, nimeuliza Bunge swala hili na nimeuliza Mheshimiwa Spika. Lakini tutakaposimama na ukweli, ukurasa wa 19 wa ripoti hii unathibitisha hii kesi iko katika Mahakama ya Rufaa. Ningemuomba Kiongozi wa Wengi Bungeni asome ukurusa wa 19 kwa habari zaidi. Hii ni kesi Namba Tisa katika Mahakama ya Rufaa, 2012. Iwapo unataka makaratasi, nitayaleta mbele yako, Mheshimiwa Spika. Asante."
}