GET /api/v0.1/hansard/entries/461198/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 461198,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/461198/?format=api",
    "text_counter": 141,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Ukurasa wa sita wa ripoti hii unaiiambia Serikali isilipe. Ukurusa wa 18, mahakama inasema, “Lipa”. Kwa hivyo Bunge haliwezi kuchukuwa jukumu la kuamua eti nani kafanya makosa na nani kafanya vizuri. Ninaomba uangalie suala hili, Bw. Spika. Mimi niko tayari kufuata maamuzi yako. Hata hivyo naomba uangalie ukurasa 19 wa hii ripoti ambapo inasemwa kwamba hii kesi iko mbele ya Mahakama ya Rufaa. Leo tutapangusa uso wetu kisha tuseme, “Leta ushahidi.” Ushahidi umeletwa na PIC na uko mbele yako na hili Bunge. Hukumu ni yako. Ahsante."
}